Na Ndetaniswa Pallangyo
MWANASOKA Bora wa
Dunia, Cristiano Ronaldo amesema kwamba Manchester United ni klabu ambayo ipo
moyoni make na anatamani siku moja are jee kucheza tena.
Mchezaji huyo wa Real
Madrid na Ureno ameweka wazi "MaipendaI Manchester," na kuongeza;
"Kila mmoja anajua
hilo — nimesema hivyo mara nyingi. Manchester ipo moyoni mwangu. Nimeacha
marafi wengi huko, mashabiki wanavutia sana na ninatamani siku moja
ningerudi,".
Shetani mwekundu: Cristiano Ronaldo akiwa
mbele ya gari ya McLaren wakati wa Tag Heuer
No comments:
Post a Comment