Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa Matsebula wa
Swaziland kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na baadhi ya wageni
waliofuatana na Malkia Nomsa Matsebula mara baada ya mgeni huyo kutua
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Malkia
Nomsa Matsebula wa Swaziland akipokea ua mara baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mgeni wake Malkia Nomsa Matsebula
wa Swaziland wakati wakielekea kupanda magari kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 1.7.2014.
No comments:
Post a Comment