Tuesday, 22 April 2014

HIKI NDICHO CHANZO CHA UGOMVI:CHIDDI BENZ ATUPWA POLISI BAADA YA KUMPIGA HUYU....ilikuwa ni usiku wa pasaka



Aisha Sued anayedai kupigwa na Chidi Benz
Mwanadada Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18, 

Tukio hilo inasemekana lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka, kwa wakati huu Chidi Benz Tangu usiku wa siku ya Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha Sued

No comments:

Post a Comment