Friday, 29 August 2014

UEFA MLANGONI

TIMU ZA ENGLAND ZAPANGWA MAKUNDI YA KIFO

habari na SUZANE CHEDDY

Baada ya mechi zilizochezwa hivi karibuni kutafuta timu zilizofuzu kuingia hatua ya makundi katika ligi ya mabingwa barani ulaya,haya ndio makundi yaliyopangwa
 
Kundi A: 
Atletico Madrid
Juventus, 
Olympiakos,
Malmo
Kundi B:
Real Madrid,
Basel,
Liverpool,
Ludogorets Razgrad
Kundi C:
Benfica, 
Zenit St Petersburg,
Bayer Leverkusen
Monaco
Kundi D:
Arsenal, 
Borussia Dortmund, 
Galatasaray, 
Anderlecht
Kundi E:
Bayern Munich,
Manchester City, 
CSKA Moscow, 
AS Roma
Kundi F
:
Barcelona,
Paris St-Germain,
Ajax,
APOEL Nicosia
Kundi G

Chelsea
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor
Kundi H:

FC Porto,
Shakhtar Donetsk,
Athletic Bilbao
BATE Borisov

No comments:

Post a Comment