MUIMBAJI HUYO ALIYE VALIA SUTI YA BLUE AKIWA KATIKA MOJA YA KUONESHA UWEZO KATIKA UZINDUZI HUU. PICHA NA PHONIA BUNDALA SOMA ZAIDI.... |
HAWA NDIO WALIMSINDIKIZA MUIMBAJI HUYO BWANA GOODWILL LINUS KATIKA UZINDUZI WA V IDEO YAKE YA WIMBO UNAOITWA YAWE ............PICHA NA PHONIA BUNDALA |
HUYU NI MOJA WA WAKUFUNZI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ALIYEVAA SHATI JEUPE BWANA ELIHURUMA CHAO KATIKA KUMSINDIKIZA MWIMBAJI HUYU KATIKA UZINDUZI WA VIDEO HIYO INAYOITWA YAWE |
MUIMBAJI HUYO GOODWILL LINUS AKIWA ANATUMBUIZA KATIKA MOJA YA NYIMBO YAKE PICHA NA PHONIA BUNDALA |
HAWA NI WANADARASA AMBAWO WALISHIRIKI KATIKA VIDEO HIYO YA MUIMBAJI GOODWILL LINUS PICHA NA PHONIA BUNBALA |
No comments:
Post a Comment