RUWENZORI CLASS
Labels
DINI
habari kimataifa
HABARI ZA BUNGE
HABARI ZA KITAIFA
KITAIFA
MICHEZO
vituko
Friday, 21 March 2014
Utelekezaji wa watoto Iringa jamii yaaswa kutoa malalamiko kwa wahusika
Afisa ustawi wa jamii manispaa ya Iringa ametoa ushauri kwa jamii kutoa malalamiko yao katika ngazi za kata au manispaa iwapo mzazi wa kike au wa kiume amemtelekeza mtoto.
Akiongea ofisini kwake afisa ustawi wa jamii Bi. JOSEPHINE MWAIPOPO amesema mtoto ni jukumu la wazazi wote wawili kumlea na ikitokea hatunzwi na mzazi hata mmoja ni kosa japo imezoeleka kuwa mwanamke ndio anastahili kutoa malalamiko pekee katika ofisi ya kata.
Aidha amesema iwapo ofisi ya kata wameshindwa kufikamuafaka basi malalamiko yafikishwe kwenye ofisi za ustawi wa jamii na itakuwakesi ya rufaa ndipo wao watawaita wazaziwote wawili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa na kuwasikliza wote kwa pamoja na ikitokea mwanaume ana makosa basiatalazimika kuanza kutoa huduma ya msingi kwa mtoto.
SOURCE; PRINCEMEDIA TZ BLOG
SOURCE
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)