Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kaimu kamanda wa polisi mkoani iringa bw.Wankyo Nyigesa amesema mwanafunzi wa miaka 6 anaesoma darasa la awali amelawitiwa na mtu ambaye hakufahamika jina lake kwa haraka na kumsababishia maumivu makali katika tarafa ya isimani mkoani hapa,huku chanzo cha tukio hilo kikiwa ni tamaa za mwili.
SOURCE; PRINCEMEDIA TZ BLOG
No comments:
Post a Comment