Monday, 24 March 2014

EXCLUSSIVE!!!! JIONEE PICHA ZA HARUSI YA PAUL OKOYE WA P SQUIRE ILIVYOFANA!!!



Hayawi hayawi sasa yamekuwa, msanii wa muziki nchini Nigeria, Paul Okoye anayeunda kundi la
Psquare, hatimaye amefunga ndo na mchumba wake wa muda mrefu, Anita Isama.
Wapendanao hao wamefunga ndoa ya kimila leo iliyofanyika Aztech Arcum, Portharcourt eneo la Riverside nchini humo.

Katika sherehe hiyo iliyohudhuria na mastaa pamoja na watu mashuhuri, Olamiju Alao – Akala ndiye alikuwa msimamizi wa kiume ‘Best man’ wa Paul. Hii inakuwa ni ndoa ya pili kwa memba wa Psquare, ukiacha ile ya Peter aliyofunga mwaka jana.













No comments:

Post a Comment