Mkurugenzi wa asasi ya kiraia inayojishughulisha
na masuala ya afya ya uzazi salama, Mecrin Manyika, amesema kuwa
katika kampeni za kuzuia ukeketeji, shirika lake kwa kuwashirikisha mangariba
hao na wakunga wa jadi waastaafu, kwa pamoja wamebuni mradi wa ufugaji wa
kondoo, kwa lengo la kuwapatia kipato mbadala wanaokubali kukabidhi zana
wanazotumia.
Wakati
dunia ikiwaimeadhimisha sherehe hizo, bado kuna changamoto nyingi
ambazo zinaikabili jamiihususani ya Afrika, katika kulinda haki za
Wanawake, kudidimizwa, nakukandamizwa.
No comments:
Post a Comment