Wednesday, 6 August 2014

KAMA BABA KAMA MTOTO , KANYE WEST AMENZA KUMPELEKA MTOTO WAKE STUDIO

Kanye West Na Mtoto Wake North West Wakiwa Studio.
 NA PALLANGYO NURDIN
Kanye West Na Mtoto Wake North West Wakiwa Studio.
Kim Kardashian ameweka Instagram picha ya rapper Kanye
West akiwa studio na mtoto wao wa kwanza Baby North West mwenye umri wa mwaka mmoja sasa ikiwa na Maneno #BringYourDaughterToWorkDay. Kanye West mwenye miaka 37 ni miongoni mwa rappers wanaopenda kuweka mambo wanayoyapenda wazi kama familia,muziki na mtoto wake.

Hivi karibuni ilisemekana urafiki wa Kanye West na Jay Z umebadilika baada ya Jay Z Na Beyonce kukosa harusi ya Kanye na Kim bila kutoa sababu yeyote.

No comments:

Post a Comment