Rais Barack Obama wa Marekan amesema mapigano yanayoendelea nchini Ukraine si matokeo ya kukua kwa maasi nchini humo bali ni uchochezi wa Urusi.
Amesema waandamaji nchini Ukraine
wamekuwa wakifanya vitendo hivyo kutokana na uchochezi wa Urusi ambapo
anadai kuwa nchi hiyo inahusika katika kuwasaidia silaha na gharama za
fedha waasi hao.Hata hivyo Rais Obama hajatoa mrejesho wa moja kwa moja kwa kile ambacho NATO wamekiita umuhimu wa kuongeza majeshi ya Urusi nchini Ukraine.
Obama pia ameionya Urusi kwamba kwa kufanya hivyo itakuwa gharama kubwa kwao na pia yaweza kuwasababishia hasara
No comments:
Post a Comment