(Bw. Godwin Linus ambae ni mwimbaji wa muziki wa injili na mwanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha picha na Alicia Sebastian) |
WANANCHI
PAMOJA NA WANAFUNZI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJIA ARUSHA
(AJTC) WAMEASWA KUWAHESHIMU NA KUWASAIDIA WALEMAVU KATIKA JAMII ZAO
HAYO
YAMEBAINISHWA NA BW GODWIN LINUS KAMA
MMOJA WA WALEMAVU KATIKA CHUO HICHO WAKATI AKIFANYA MAHOJIANO NA MWANDISHI WETU
MAPEMA HII LEO KATIKA CHUO HICHO WAKATI KAMPENI YA KUWASAKA WANAFUNZI WENYE VIPAJI VYUONI IKIENDELEZWA.
BW
LINUS AMBAYE PIA NI MWANAMUZIKI WA MUZIKI WA INJILI AMEWEZA PIA KUELEZA JUU YA
NAFASI MBALI MBALI ALIZO PATA KAMA MWANAFUNZI MWENYE ULEMAVU IKIWA NI NPAMOJA
NA KUPATA NAFASI YA KUKUTANA NA WANAMUZIKI WANAOFANYA KAZI KITAFA NA PIA
KIMATAIFA
ALIENDELEA
PIA KWA KUELEZA JUU YA CHANGAMOTO AMBAZO ANAKUTANA NAZO IKIWA NI PAMOJA NA
KUPATA NAFASI YA KUHUDHURIA KATIKA MAKONGAMONO MAKUBWA YA INJILI LAKINI
ANASHINDWA KUTOKANA NA ULEMAVU ALIO NAO.
(kutoka kushoto bw Godwin Linus na wapili upande wa kulia ni Tumaini Sylivester ambae ni mwandishi wa blod hii wakati akafanya nae mahojiano alipomtenbelea chuoni hapo Arusha, picha na Alicia Sebastian) |
TOFAUTI
NA ILO PIA ALIBAINISHA KUWA TATIZO LA USAFIRI NI CHANGAMOTO KUBWA AMBAYO
ANAKUTANA NAYO KWANI MAKONDA WA BASI WAMEKUWA WAKIMKATAA PINDI ANAPOTAKA
KUTUMIA HUDUMA HIYO
GODWINI
AMETOA ALABAM YA MUZIKI ILIYOKO SOKONI IJULIKANAYO KWA JINA LA SITACHOKA KUNGOJA IKIWA NA NYIMBO KA YAWE NA SITACHOKA KUNGOJA
No comments:
Post a Comment