na MAGRETH CHUWA
Msimamizi mkuu wa mafunzo ya ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili, Naima Besta akiendesha zoezi la kurusha mpira kwa washiriki (chemsha bongo)katika viwanja vya Veta, Iringa kabla yakuingia darasani asubuhi leo.
Darasa linaendelea likiongezwa na mkufunzi Runyoro Adolf, mafunzo hayo yanahusu ufuatiliaji na wajibikaji jamii katika ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili.
Darasa linaendelea
Washiriki wa mafunzo ya ushiriki wa wananchi katika usimamizi wa maliasili (misitu na wanyamapori) ambayo mafunzo yakuwafundisha wakufunzi wakiwa katika picha ya pamoja na wakufunzi kutoka shirika la LEAT. Mafunzo hayo yanatolewa kwa ufadhili wa shirika la USAIDruwenzoriclass.blogspot.com
No comments:
Post a Comment