RUWENZORI CLASS
Labels
DINI
habari kimataifa
HABARI ZA BUNGE
HABARI ZA KITAIFA
KITAIFA
MICHEZO
vituko
Thursday, 20 March 2014
wawili wafariki dunia mkoani iringa, mmoja kwa kuikimbia mvua
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Wankyo Nyigesa
Watu wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Iringa likwemo la kuanguka
chini wakati anakimbia mvua.
Akithibitisha kutokea kwa matukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani Iringa Bw.
Wankyo Nyigesa amesema Niko Kilienyi (45) amefariki dunia baada ya kuanguka chini wakati akiwa anakimbia mvua isimnyeshe katika kata ya Kihesa mkoani hapa huku na chanzo cha kifo hicho ni kuteleza kwa bahati mbaya wakati akiikimbia mvua
Katika tukio lingine Clay Nzulumi (17) mkazi wa Kilindi Tanangozi
amefariki dunia baada ya kugongwa na gari
la mizigo ambalo halikufahamika namba zake wala dereva likiwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya.
kaimu kamanda wa polisi mkoani iringa Wankyo NyigesaWankyo ametoa wito kwa dereva wa gari hilo kujisalimisha katika kituo chapolisi kwani hawezi kuukwepa mkono wa sheria.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment