Wednesday, 13 August 2014

WANAVYUO WAJIPANGA KUKABIRIANA NA SOKO LA AJIRA TANZANIA


Mwandishiwahabari Alicia Sebastian(kulia) akifanyamaojianonamwanafunziwachuo cha uandishiwahabarinautangazajiArusha (AJTC) Bwana Pascal David (kushoto) ambayeanategemeakumalizamasomoyakehivikaribuninakuelekeakatikamazoeziyavitendo,akielzajinsialivyojipangakikamilifukuhakikishaanatendavyema,(pichanampigapicha wetu)


Wanafunziwametakiwakusomakwabidiiwawapochuoniilikuepukanakuondokananatatizo la ajiralinalowakabirivijanawengihapanchini
Akizungumzanawaandishiwahabariwahabarimwanafunzikatikachuo cha uandishiwahabarinautangazajiArusha bwana Pascal David ambayepiaanajiandaakuhitimumasosmoyakendaniyachuohichonakuelekeakatikamazoeziyavitendo(field),amesemakujipanganakujiandaakwamwanafunziakiwamasomonindionjiapekeeyakukabiliananachangamotohii.
David ameelezakuwawafunzikatikavyuombalimbaliususanikatikanchiya Tanzania hujikitakatikamasomoyanadhaliapasipokujikitakatikamazoeziyavitendokwaninjiahiindiokipimokikubwamaratuuingiapokatikasoko la ajira.
Ameelezawanafunzikatkadarasalao la manyaraambaowakoukingonikujikitakatikakatikasokasoko la ajirawamesemawaowamejipangavyemakwanihapachuoniwameonyeshamfano bora wakuigwanawanafunziwenginendaninachuohicho cha uandishiwahabarinautangazajiArusha (AJTC)
Pascal ametaja mambo yamsinginamuhimuambayoyatafanyawalimunawanafunziwachuohichokuwanimazoeziyavitendoyauandishinautangazaji,kushirikikatikamashindanombalimbaliambapoamesemamwakawakwanzawakuingiachuoniwalishirikikatikavitengotofautitofautiikiwemousomajiwahabari,kipindimaalumnakipindi cha burudani.
Piaamefafanuamwishonimwamasomoyaowameshirikikwakupewazawadimbalimbaliambapowalipatakombelenyethamaniya sh.100,000napesatasilimelfusitini(60,000). 
HABARI NA ALICIA SEBASTIAN


.



No comments:

Post a Comment